iqna

IQNA

Elimu na Ustawi
NEW DELHI (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Aligarh (AMU), chuo kikuu kikuu cha umma huko Aligarh, Uttar Pradesh ya India, kimezindua mpango wa anga za mbali ambao unalenga kurusha satelaiti katika siku zijazo.
Habari ID: 3477813    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30

Kamanda Mkuu wa IRGC
TEHRAN (IQNA)- Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa na uwezo wa kujirushia satalaiti katika anga za mbali ni kigezo cha nchi iliyostawi duniani.
Habari ID: 3475023    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/08

Ustawi wa teknolojia Iran
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limerusha kwa mafanikio makubwa satalaiti ya Nour-2 ya kijeshi ya Iran katika anga za mbali .
Habari ID: 3475022    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/08